Mmoja wa wafanyabiashara watakaorejea Soko la Kariakoo akishiriki mafunzo ya udhibiti wa moto yaliyotolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokozi Machi 11, 2025 ikiwa ni mkakati wa Shirika la Masoko ya Kariakoo kuelekea ufunguzi wa soko la Kariakoo ">
Posted on: March 26th, 2025
Shirika la Masoko ya Kariakoo limepata Meneja Mkuu mpya CPA Ashraph Yusuph Abdulkarim.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu (25 Machi,2025) imesema Rais...