Biashara nyingine ambazo hufanyika katika Soko Kuu la Kariakoo
Mbali na biashara za Mazao ya vyakula mbalimbali Sokoni Kariakaoo pia kunafanyika biashara za vifaa vya Kilimo ( Agricultural Inputs). Miongoni mwa vifaa hivi vya kilimo ni pamoja na madawa mbalimbali ya kuulia wadudu mashambani(Viwatilifu), mashine za aina mbalimbali za kuvuta maji kwa ajili ya umwagiliaji, majembe na zana nyinginezo. Aidha yapo maduka yanayouza madawa mbalimbali kwa ajili ya mifugo mbalimbali, kama vile ng’ombe, mbuzi, kuku, mbwa na wanyama wengine. Bidhaa hizi zote hupatikana kwa bei ya jumla na rejareja kwa wanaohitaji.
Nyamwezi/Mkunguni , Swahili/Tandamti, Nyamwezi/Tandamti
Anuani ya posta: P.O.Box 15789 Dar es Salaam Tanzania
Simu: +255 22 2180678
Simu ya kiganjani:
Baruapepe za Watumishi: info@kariakoomarket.co.tz
Copyright ©2019 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.