Shirika la Masoko ya Kariakoo linapenda kuwafahamisha wananchi na wafanyabiashara kuwa imebakia siku moja kwa mnada wa maeneo ya kupangisha kwenye eneo la Tabata Bima . Mnada utafungwa kesho tarehe 07 Septemba 2024 ifikapo saa 6.00 usiku.Wafanyabiashara wenye nia ya kupata nafasi za kupangisha wanatakiwa kujisajili kwenye mfumo wa TAUSI kupitia anwani: tausi.tamisemi.go.tz
Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.