Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikisha kutoa fedha shilingi Bilioni 28.3 kwa ajili ya ukarabati wa soko la zamani la karikaoo lililoungua moto mwaka Julai 10,2021 na kisha kuanzisha ujenzi wa soko jipya la Kariakoo mradi unaotarajia kukamilika Oktoba 2023.
Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.