• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

JKCI NDANI YA SOKO KUU LA KARIAKOO, WANANCHI KUPATA HUDUMA BURE NDANI YA WIKI MOJA

Posted on: February 24th, 2026

JKCI NDANI YA SOKO KUU LA KARIAKOO, WANANCHI KUPATA HUDUMA BURE NDANI YA WIKI MOJA


Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefungua rasmi kliniki ya uchunguzi na matibabu katika Soko Kuu la Kariakoo kwa ajili ya kuwahudumia wafanyabiashara, wananchi wa eneo la Kariakoo ikiwemo wateja wanaofika sokoni hapo kutoka nje na ndani ya nchi.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kliniki hiyo Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, CPA. Ashraph Abdulkarim amesema uwepo wa huduma za uchunguzi na matibabu sokoni hapo ni mwendelezo wa kuhakikisha kuwa huduma zote za msingi zinapatikana katika eneo moja na kuwapunguzia wananchi usumbufu wa kutafuta huduma hizo nje ya soko hilo.


“Kama mnavyoelewa hili ni soko la kimataifa ambapo inatakiwa ukifika Kariakoo kila kitu kifanyike hapa hapa, utapata bidhaa unazozihitaji, utapata huduma za matibabu, utapata huduma za kifedha, kuna eneo la kuegesha magari hivyo unaweza kuja na gari lako na kuliegesha katika mazingira salama” amenainisha CPA. Abdulkarim


Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini JKCI, Dkt. Hassan Mahamoud Mshinda amesema taasisi hiyo imeendelea kusogeza huduma karibu na wananchi na kuongeza kuwa kliniki hiyo inakuwa ya sita ukijumlisha kliniki zingine ambazo zimeanzishwa katika maeneo mbalimbali nchini.


Naye, Mkurugenzi Mtendaji JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema kliniki hiyo imegharimu takribani bilioni moja na itakuwa na huduma za kisasa ikiwemo matumizi ya teknolojia ya akili unde, maabara ya kisasa ambayo ni ya pekee hapa nchini na kuongeza kuwa itatoa huduma bure kwa muda wa wiki moja.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • JKCI NDANI YA SOKO KUU LA KARIAKOO, WANANCHI KUPATA HUDUMA BURE NDANI YA WIKI MOJA

    February 24, 2026
  • KARIAKOO, ZIMAMTOTO WATOA ELIMU YA ZIMAMOTO NA UOKOJI KWA WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 400

    February 23, 2026
  • TAMISEMI, SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO WAANZA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS WAKATI WA UFUNGUZI WA SOKO KUU LA KARIAKOO

    February 14, 2026
  • RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO KUU LA KARIAKOO, ATAKA LIWE SOKO LA KUIGWA NDANI NA NJE YA NCHI.

    February 08, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.