• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

KARIAKOO, ZIMAMTOTO WATOA ELIMU YA ZIMAMOTO NA UOKOJI KWA WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 400

Posted on: February 23rd, 2026

KARIAKOO, ZIMAMTOTO WATOA ELIMU YA ZIMAMOTO NA UOKOJI KWA WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 400


Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Ukoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala imetoa mafunzo ya zimamoto na uokoaji kwa watumishi wa Shirika hilo na wafanyabiashara zaidi ya 400 ambao wanafanya biashara katika Soko Kuu la Kariakoo.


Akifungua mafunzo hayo, Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim amesema kutolewa kwa mafunzo hayo ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa Februari 8,2026 wakati wa ufunguzi wa soko hilo la kimataifa.


“Ninawashukuru wafanyabiasha wa Soko la Kariakoo na wafanyakazi kwa kujitokeza kwa wingi katika mafunzo haya, Mhe. Rais aliona mifumo na miunombinu ya kisasa ya kuzima moto na kutaka wafanyabiashara kujengewa uwezo wa namna ya kutumia mifumo hiyo kwa usalama wa soko na wafanyabiashara wote hvyo tumetekeeza” CPA. Abdulkarim


Kwa upande wake Kaimu Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Ilala, ACF. Chrispin Rabiuzima amesema wafanyabiashara na watumishi waliopatiwa mafunzo hayo wanatakiwa kuwa wakufunzi kwa wengine kwa kuwa mafunzo hayo yametolewa kwa sehemu ya wafanyabiashara Zaidi ya 1800 ambao wanatoa huduma sokoni hapo.


ACP. Rabiuzima amebainisha kuwa mafunzo hayo yamelenga kuondoa hofu na kuelewa vema namna ya kutumia miundombinu ya zimamoto ilipo sokoni na kuitumia kwa usahihi na kuwaongoza wafanyabiashara wenzao pale changamoto yoyote itakapojitokeza sokoni hapo


Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIAKOO, ZIMAMTOTO WATOA ELIMU YA ZIMAMOTO NA UOKOJI KWA WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 400

    February 23, 2026
  • TAMISEMI, SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO WAANZA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS WAKATI WA UFUNGUZI WA SOKO KUU LA KARIAKOO

    February 14, 2026
  • RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO KUU LA KARIAKOO, ATAKA LIWE SOKO LA KUIGWA NDANI NA NJE YA NCHI.

    February 08, 2026
  • SHIRIKA LA MASOKO WAKUTANA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA KWA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI.

    February 02, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.