Wafanyabiashara wanakumbushwa kulipa madeni yao ili kuweza kupangiwa eneo la biashara katika Soko jipya la Kariakoo